caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 87

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:87

وَلَقَدْ ءَاتَيْنَٰكَ سَبْعًا مِّنَ ٱلْمَثَانِى وَٱلْقُرْءَانَ ٱلْعَظِيمَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tumekupa (aya) saba zinazosomwa mara kwa mara, na Qur-ani Tukufu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tumekupa Aya saba zinazo somwa mara kwa mara, na Qur'ani Tukufu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70