caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ibrahim, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 72 · 14:41

رَبَّنَا ٱغْفِرْ لِى وَلِوَٰلِدَىَّ وَلِلْمُؤْمِنِينَ يَوْمَ يَقُومُ ٱلْحِسَابُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wetu Mlezi! Nisamehe mimi na wazazi wangu wote wawili, na Waumini, siku itakaposimama hesabu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wetu! Unighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili, na Waumini, siku ya kusimama hisabu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70