قَالُوا۟ وَأَقْبَلُوا۟ عَلَيْهِم مَّاذَا تَفْقِدُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema huku wamegeuka kuwaelekea, “Kwani mmepoteza nini?”
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema nao wamewakabili: Kwani mmepoteza nini?