caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 69

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:69

وَلَمَّا دَخَلُوا۟ عَلَىٰ يُوسُفَ ءَاوَىٰٓ إِلَيْهِ أَخَاهُ قَالَ إِنِّىٓ أَنَا۠ أَخُوكَ فَلَا تَبْتَئِسْ بِمَا كَانُوا۟ يَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walipoingia alimokuwa Yusuf, alimkumbatia kakaye na akasema: Mimi hakika ndiye yule kaka yako. Basi usihuzunike kwa yale waliyokuwa wakiyafanya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walipo ingia kwa Yusuf alimchukua nduguye akasema: Mimi hakika ni nduguyo. Basi usihuzunike kwa waliyo kuwa wakiyafanya.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70