caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 55

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:55

قَالَ ٱجْعَلْنِى عَلَىٰ خَزَآئِنِ ٱلْأَرْضِ إِنِّى حَفِيظٌ عَلِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYusuf akasema: Nifanye msimamizi wa hazina za nchi. Kwani hakika mimi ni mlinzi mzuri, mwenye elimu sana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYusuf akasema: Nifanye mshika khazina za nchi. Kwani hakika mimi ni mlinzi mjuzi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70