ثُمَّ يَأْتِى مِنۢ بَعْدِ ذَٰلِكَ عَامٌ فِيهِ يُغَاثُ ٱلنَّاسُ وَفِيهِ يَعْصِرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha baada ya haya utakuja mwaka ambao ndani yake watu watasaidiwa na watakamua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKisha baada ya haya utakuja mwaka ambao katika mwaka huo watu watasaidiwa, na watakamua.