caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 12

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:12

أَرْسِلْهُ مَعَنَا غَدًا يَرْتَعْ وَيَلْعَبْ وَإِنَّا لَهُۥ لَحَٰفِظُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMuachilie kesho pamoja nasi, ale kwa furaha na acheze, na bila ya shaka sisi tutamhifadhi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMpeleke kesho pamoja nasi, ale kwa furaha na acheze; na bila ya shaka sisi tutamhifadhi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70