caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 55

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:55

مِن دُونِهِۦ فَكِيدُونِى جَمِيعًا ثُمَّ لَا تُنظِرُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBadala ya Yeye. Basi nyinyi nyote nipangieni njama, na kisha msinipe muhula!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMkamwacha Yeye. Basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha msinipe muhula!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70