caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:33

قَالَ إِنَّمَا يَأْتِيكُم بِهِ ٱللَّهُ إِن شَآءَ وَمَآ أَنتُم بِمُعْجِزِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema, "Hakika Mwenyezi Mungu tu ndiye atakayewaletea akitaka. Wala nyinyi si wenye kumshinda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema (Nuhu) : Mwenyezi Mungu atakuleteeni akipenda, wala nyinyi siwenye kumshinda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70