فَلَمَّا جَآءَهُمُ ٱلْحَقُّ مِنْ عِندِنَا قَالُوٓا۟ إِنَّ هَٰذَا لَسِحْرٌ مُّبِينٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ilipowajia haki kutoka kwetu, walisema: Hakika huu ni uchawi ulio dhahiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ilipo wajia Haki kutoka kwetu walisema: Hakika huu ni uchawi dhaahiri.