caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mursalaat, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 33 · 77:29

ٱنطَلِقُوٓا۟ إِلَىٰ مَا كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNendeni kwenye adhabu mliyokuwa mkiikanusha!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNendeni kwenye adhabu mliyo kuwa mkiikanusha!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70