caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 45

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:45

لَأَخَذْنَا مِنْهُ بِٱلْيَمِينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBila ya shaka tungelimshika kwa mkono wa kulia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70