caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 35

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:35

فَلَيْسَ لَهُ ٱلْيَوْمَ هَٰهُنَا حَمِيمٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi leo hapa hana jamaa wa kumwonea uchungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi leo hapa hana jamaa wa kumwonea uchungu,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70