caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Waaqia, Aya 93

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 46 · 56:93

فَنُزُلٌ مِّنْ حَمِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi karamu ya makaribisho yake ni maji yanayochemka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi karamu yake ni maji yanayo chemka,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70