caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 151

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:151

أُو۟لَٰٓئِكَ هُمُ ٱلْكَٰفِرُونَ حَقًّا وَأَعْتَدْنَا لِلْكَٰفِرِينَ عَذَابًا مُّهِينًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHao ndio makafiri wa hakika. Na tumewaandalia makafiri adhabu ya kudunisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ndio makafiri kweli. Na tumewaandalia makafiri adhabu ya kudhalilisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70