caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 10

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:10

إِنَّ ٱلَّذِينَ يَأْكُلُونَ أَمْوَٰلَ ٱلْيَتَٰمَىٰ ظُلْمًا إِنَّمَا يَأْكُلُونَ فِى بُطُونِهِمْ نَارًا وَسَيَصْلَوْنَ سَعِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, wale wanaokula mali za mayatima kwa dhuluma, hakuna shaka yoyote wanakula moto matumboni mwao. Na wataingia Moto wenye mwako mkali.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika wanao kula mali ya mayatima kwa dhulma, hapana shaka yoyote wanakula matumboni mwao moto, na wataingia Motoni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70