إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمْ جَنَّٰتُ ٱلنَّعِيمِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika walioamini na wakatenda mema watakuwa na Bustani za neema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika walio amini na wakatenda mema watakuwa nazo Bustani za neema.