caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ibrahim, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 72 · 14:43

مُهْطِعِينَ مُقْنِعِى رُءُوسِهِمْ لَا يَرْتَدُّ إِلَيْهِمْ طَرْفُهُمْ وَأَفْـِٔدَتُهُمْ هَوَآءٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatakuwa mbioni, vichwa juu, huku macho yao hayapepesi, na nyoyo zao zitakuwa tupu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNao wako mbioni, vichwa juu, na macho hayapepesi, na nyoyo zao tupu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70