وَسَخَّرَ لَكُمُ ٱلشَّمْسَ وَٱلْقَمَرَ دَآئِبَيْنِ وَسَخَّرَ لَكُمُ ٱلَّيْلَ وَٱلنَّهَارَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa akawatiishia jua na mwezi vinavyokwenda daima dawamu, na akawatiishia usiku na mchana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa akalifanya jua na mwezi kwa manufaa yenu daima dawamu, na akaufanya usiku na mchana kwa manufaa yenu.