caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ibrahim, Aya 20

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 72 · 14:20

وَمَا ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ بِعَزِيزٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hilo kwa Mwenyezi Mungu si jambo gumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hilo kwa Mwenyezi Mungu si jambo gumu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70