caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 82

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:82

وَسْـَٔلِ ٱلْقَرْيَةَ ٱلَّتِى كُنَّا فِيهَا وَٱلْعِيرَ ٱلَّتِىٓ أَقْبَلْنَا فِيهَا وَإِنَّا لَصَٰدِقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa uliza mji tuliokuwamo, na msafara tuliokuja nao. Na hakika sisi ni wakweli.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa waulize watu wa mji tulio kuwako, na msafara tulio kuja nao. Na hakika sisi tunasema kweli.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70