caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 44

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:44

قَالُوٓا۟ أَضْغَٰثُ أَحْلَٰمٍ وَمَا نَحْنُ بِتَأْوِيلِ ٱلْأَحْلَٰمِ بِعَٰلِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Hizi ni ndoto zilizoparaganyika, wala sisi sio wenye kujua tafsiri ya ndoto hizi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Hizi ni ndoto zilizo paraganyika, wala sisi sio wenye kujua tafsiri ya ndoto hizi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70