caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:27

وَإِن كَانَ قَمِيصُهُۥ قُدَّ مِن دُبُرٍ فَكَذَبَتْ وَهُوَ مِنَ ٱلصَّٰدِقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ikiwa shati lake limechanwa kwa nyuma, basi mwanamke amesema uongo, naye Yusuf ni katika wakweli.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ikiwa kanzu yake imechanwa nyuma, basi mwanamke amesema uwongo, naye Yusuf ni katika wakweli.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70