كَأَن لَّمْ يَغْنَوْا۟ فِيهَآ أَلَا بُعْدًا لِّمَدْيَنَ كَمَا بَعِدَتْ ثَمُودُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKama kwamba hawakuishi humo kwa ustawi. Zingatia ilivyoangamia Madyana, kama ilivyoangamia Thamud!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKama kwamba hawakuwamo humo. Zingatia walivyo angamia watu wa Madyana, kama walivyo angamia watu wa Thamud!