caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:11

إِلَّا ٱلَّذِينَ صَبَرُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ أُو۟لَٰٓئِكَ لَهُم مَّغْفِرَةٌ وَأَجْرٌ كَبِيرٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa wale waliosubiri na wakatenda mema. Hao wana maghufira na malipo makubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIla wale walio subiri wakatenda mema. Hao watapata msamaha na ujira mkubwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70