caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Hud, Aya 106

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 52 · 11:106

فَأَمَّا ٱلَّذِينَ شَقُوا۟ فَفِى ٱلنَّارِ لَهُمْ فِيهَا زَفِيرٌ وَشَهِيقٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAma wale waliojitia mashakani, hao watakuwa Motoni, humo watavuta pumzi na kuitoa kwa ugumu mkubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAma wale wa mashakani hao watakuwamo Motoni wakiyayayatika na kukoroma.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70